Advertisement

MAKONDA ATINGA SITE KWA KUSHTUKIZA, AKUTA MADUDU AMPIGIA SIMU MKANDARASI LIVE

MAKONDA ATINGA SITE KWA KUSHTUKIZA, AKUTA MADUDU AMPIGIA SIMU MKANDARASI LIVE Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amefanya ziara ya kustukiza kwenye Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa la Kisutu na kumuagiza Mkandarasi wa ujenzi wa Soko hilo kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha ujenzi unakamilika na kukabidhiwa kabla ya mwezi May Mwakani.

MKANDARASI

Post a Comment

0 Comments